Recent content by Home tuition services

  1. Home tuition services

    JamiiForums Tanzania Wasanii wetu wa Tanzania mnachangia sana Mmonyoko wa Maadili

    Unadhani tatizo ni nini? Suluhisho ni lipi?
  2. Home tuition services

    JamiiForums Tanzania Wanaume tujitahidi kuwatunza watoto wetu hata kama tumeachana na Mama zao

    Suala la malezi nalo limelegea sababu ya utengano
  3. Home tuition services

    JamiiForums Tanzania Wanaume tujitahidi kuwatunza watoto wetu hata kama tumeachana na Mama zao

    Yani ww humpi mwanamke mtoto wako lazima umtunze!Kazi ya Mwanaume sio kugawa tu mbegu ni kutunza na kutoa matumizi.
  4. Home tuition services

    JamiiForums Tanzania Wanaume tujitahidi kuwatunza watoto wetu hata kama tumeachana na Mama zao

    Hivi unamkabidhi Mwanaume mtoto atamlea ?labda umpe Mama wa kambo ,sisi Wanaume kwenye malezi n ngumu sana ,mtoto ana mambo mengi sana anatakiwa afundishe na kikawaida malezi ni ya wote ila hasa mama ndio ana kazi kubwa
  5. Home tuition services

    JamiiForums Tanzania Wanaume tujitahidi kuwatunza watoto wetu hata kama tumeachana na Mama zao

    Wanaume tunasema tu malezi hatuwezi
  6. Home tuition services

    JamiiForums Tanzania Wanaume tujitahidi kuwatunza watoto wetu hata kama tumeachana na Mama zao

    Mama yake ndio kamsajili Sasa baba hutoi matumizi mda wa kwenda shule umefika amuache.
  7. Home tuition services

    JamiiForums Tanzania Wanaume tujitahidi kuwatunza watoto wetu hata kama tumeachana na Mama zao

    Wanaume tutunze watoto ,tuwajibike
Back
Top Bottom