Recent content by Holyholy

  1. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume mwenye VVU

    Mungu awabariki wote kwa comments zenu haijalishi ni mzuli au mbaya but nmejifunza na nmepata new idea asanteni
  2. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume mwenye VVU

    Hi! Naitwa holyholy nina miaka 29. Nina elimu ya Chuo kikuu but bado sijapata ajira. Niko hapa kutafuta mume mwenyewe umri kuanzia miaka 32-40 aliye na hali kama yangu mimi. Nina miezi kadhaa toka nigundulike na bado sijaanza kutumia dawa. Natafuta mwanaume mkristo,mwenye kazi ya...
Back
Top Bottom