Habari zenu wakuu, kama kichwa kinavyosema hapo juu nahitaji msaada wenu na paypal kwani nimejaribu kujiunga na hiyo Internet Banking na Nikatumiwa confirmation password n.k
Lakini shida inakuja pale kwenye kuverify card yangu Paypal maana nikijaza details zote inaniambia "Unable to verify...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.