Recent content by hoest boy

  1. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini siwezi kumpa kura magufuli na ccm yake soma tafadhali ni muhimu

    Watu wanaokampeni kushawishi Watanzania wamchague John Magufuli kuwa Rais wa tano wa Tanzania kwa kutumia kigezo cha uadilifu wanadhani ataweza kuzuia serikali ya CCM kuwa fisadi na hivyo umaskini wa wananchi kupungua. Kimsingi wanajidanganya maana Magufuli akichaguliwa ufisadi wa kimfumo...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Ukimaliza kusoma hapa nafahamu utaandaa kura yako na familia yako kwa Lowassa

    SABABU KUU ZA CCM kuanguka...!!�� 1: KATIBA mpya ya WARIOBA.... huu ndio msumari mkuu, na wananchi WANA HASIRA NA HILI.. na CCM walichakachua, na wako kimya...hata Ilani yao hawasemi hilo 2: UFISADI.... hadi sasa CCM hawana SERA... wanaongelea Lowassa, Lowassa, Lowassa...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Natangaza rasmi kujiunga CCM

    Watu wanaokampeni kushawishi Watanzania wamchague John Magufuli kuwa Rais wa tano wa Tanzania kwa kutumia kigezo cha uadilifu wanadhani ataweza kuzuia serikali ya CCM kuwa fisadi na hivyo umaskini wa wananchi kupungua. Kimsingi wanajidanganya maana Magufuli akichaguliwa ufisadi wa kimfumo...
  4. H

    JamiiForums Tanzania CCM itashinda kihalali bila goli la mkono

    RICHMOND . .. sio ya Lowassa na kaikana, na hata Obama alipelekwa Ubungo na kuipongeza... so utajua ni ya nani hapo..
  5. H

    JamiiForums Tanzania Sasa nishagundua kwanini Magufuli ndo Rais baada ya 25, Oktoba

    Lowasa ndiye raisi wetu
Back
Top Bottom