Recent content by hochere

  1. H

    Utajuaje kama TV yako ina king'amuzi cha ndani?

    BBE Digital Sent using Jamii Forums mobile app
  2. H

    Utajuaje kama TV yako ina king'amuzi cha ndani?

    Thanx nimechunguza unayo DVB na pia kuna BBE naomba ufafanuz wake kwa ujumla Sent using Jamii Forums mobile app
  3. H

    Utajuaje kama TV yako ina king'amuzi cha ndani?

    Na TV yenye digital EPG, Digital yenye vipi inakingamuzi ndani na vipi naweza kuingunasha? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. H

    Uliza software yeyote hapa

    Naomba website ya Kudonload Vitabu vya kusoma level zote Sent using Jamii Forums mobile app
  5. H

    Online Jobs/ Work

    Ahsante Mkuu nadhani ni fursa ya kujiajiri na kujiongezea kipato Sent using Jamii Forums mobile app
  6. H

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Vifurushi vya Voda, vinavyoandikwa na kile unachotumia haviendani, Haiwezekani ndani ya 3GB kwa kuperuzi kwenye JF ukaimaliza ndani ya Dakika 10! Vifurushi vilivyopo sio halisia unavyonunua kwenye mfumo Sent using Jamii Forums mobile app
  7. H

    Online Jobs/ Work

    Habar wakuu Samahani naomba kujua fursa za kazi za kimtandao( Online jobs) mwenye ideas na mzoefu wa fursa hizi tufundishane ili tupeane ajira! Mm niko interested Sana na hizo $ mtandaoni ila sijui chochote ila wenzetu Kenya ndo ajira zao! Tusaidiane kwa hili Ahsanteni kwa utayari wenu Sent...
  8. H

    Digital Channels kwenye Digital TV build in

    TV yangu sio Smart ni LED ila inayo Digital build in, xa nineshindwa kupata channel hzo
  9. H

    Digital Channels kwenye Digital TV build in

    Nilijaribu kuunganisha Antena ila imenigomea! Xa sijui kama kuna namna nyingine
  10. H

    Digital Channels kwenye Digital TV build in

    Habar wakuu, naomba kuuliza ntawezaje kupata Channel kwenye TV yenye Digital build in ; mwenye uelewa please tusaidiane
Back
Top Bottom