Kilimo kina lips sana, hapa wilayani Karagwe, mkoa wa Kagera tunalima zao la Chia, tulipata mbegu isiyo zidi kilo 5 miaka minne iliyo pita, lakini kutokana na matokeo mazuri mwaka huu 2018 tumepata kiasi cha 80MT.
Solo tunalo kubwa sana,linazidi uzalishaji, solo lili hitaji walau 250MT lakini...