Recent content by Hili nalo litapita

  1. H

    SoC04 Vyombo vya Habari hasa Televisheni, TV za mitandaoni tumieni Teknolojia ya kubadili sauti kuwa maneno ili msiache nyuma watu wenye ulemavu wa kusikia

    UTANGULIZI: Navipongeza vyombo vyote vya Habari ambavyo vinaendelea kuwa wabunifu katika kurusha matangazo/maudhui mbalimbali ili kuhabarisha jamii kwa kujumuisha mtindo wa tafsiri kwa ALAMA ili iwe rahisi kueleweka kwa watu wasio sikia vizuri au wasiosikia kabisa. KIELELEZO: TBC wakiendesha...
  2. H

    SoC04 Tanzania Tuitakayo ni ile yenye Hospitali Maalum za Kitaifa kwa kila Kanda

    UTANGULIZI: Hospitali Maalum ni Hospitali zinazotoa huduma ya kimatibabu na kiuguzi kwa ugonjwa au tatizo fulani pekee mfano ugonjwa wa moyo, saratani, macho, akili, pumu n.k. Nchini Tanzania tunazo Hospitali Maalum 5 tu za Kitaifa kama vile Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete(JKCI) yenye kutibu...
  3. H

    SoC04 Umuhimu wa mfumo wa Pamoja wa TEHAMA wa Udhibiti wa Mifumo ya TEHAMA ya Taasisi, Mashirika ya Umma

    Ahsante kwa kuelewa wazo. Ni kweli kabisa kimaelezo kulielezea ni refu, nimeshindwa kufanya hivyo kutokana na limit ya maneno ambayo yasizidi 1000, hapa kuna jumla ya maneno 968. Ndio maana nimegusia maeneo muhimu tu kama faida, hasara na ushauri endapo huu mfumo ukitaka kutekelezwa. Hata...
  4. H

    SoC04 Umuhimu wa mfumo wa Pamoja wa TEHAMA wa Udhibiti wa Mifumo ya TEHAMA ya Taasisi, Mashirika ya Umma

    Ahsante sana kwa kuchangia kufafanua, namna hiyo ndio itaimarisha uwajibikaji na uwazi tofauti na sasa
  5. H

    SoC04 Umuhimu wa mfumo wa Pamoja wa TEHAMA wa Udhibiti wa Mifumo ya TEHAMA ya Taasisi, Mashirika ya Umma

    Mfano wa mianya kutokana na udhibiti mbovu wa mifumo ya TEHEMA. Mfumo wa Pamoja wa TEHEMA wa udhibiti wa mifumo ya TEHAMA utakuwa suluhisho
  6. H

    SoC04 Umuhimu wa mfumo wa Pamoja wa TEHAMA wa Udhibiti wa Mifumo ya TEHAMA ya Taasisi, Mashirika ya Umma

    Huu mfumo utakuwa unaendeshwa na watu, tena wa Full time ambao watakuwa wafanyakazi kazi kama wafanyakazi wengine wa kawaida. Au kwa lugha rahisi hii itakuwa ni Idara/Taasisi ya Udhibiti wa Mifumo ya TEHAMA. Mfumo utakuwa na sifa za automatic za kunasa matukio yasiyofaa kutoka kwenye mifumo ya...
  7. H

    SoC04 Umuhimu wa mfumo wa Pamoja wa TEHAMA wa Udhibiti wa Mifumo ya TEHAMA ya Taasisi, Mashirika ya Umma

    UTANGULIZI: Mfumo wa Pamoja wa TEHAMA wa udhibiti wa mifumo ya TEHAMA (General Intergrated Control of IT systems) ni mfumo wa pamoja utakaosimamia na kudhibiti matumizi ya mifumo ya TEHAMA katika taasisi au mashirika ya umma kwenye utendaji wa shughuli zao. Mifumo hii itakayodhibitiwa naweza...
Back
Top Bottom