Mimi sikupiga kura. Kwa maoni yangu ule haukuwa uchguzi bali ni ubakaji wa demokrasia. Siamini pia kama kuna watanzania milionitano waliojitokeza kupiga kura. Mtaani kwa penye wapigakura takribani 200 hakujitokeza hata watu kumi kwenye kituo cha kura
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.