Unaandika sababu hujui , mapenzi ni zaidi ya sex , unaweza kutosheka na mtu na kurizika tu kwa kumuona au kumsikia sauti yake moyo wako ukawa na amani kama Ushawahi kupenda kweli utajua nazungumzia nini .
Yakobo alioa binamu kwa dini yangu ni ruksa kuoa binamu
Mimi nimependana na dada wa kambo ambaye kidini ni dada yangu
Nahisi niko katika Zambi na niko vibaya yakobo hana kosa yupo sahihi huwezi kutufananisha kiongozi
Mpaka sasa nimepata option mbili tu katika maoni yote humu hii ya kwako ikiwepo [emoji120].
Ila dada umpate huyo mzee ambaye atakuwa na huo ujasiri hapo ni hatari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.