Recent content by hidencode

  1. H

    JamiiForums Tanzania Ningependa kujua haya

    Pamoja sana mdau
  2. H

    JamiiForums Tanzania Ningependa kujua haya

    Ni adhari gani unaweza kuzipata endapo ukichanganya matunda yasiyo na content zisizoendana? Hebu tupe mfano wa matunda yasiyo na content zinazoendana
  3. H

    JamiiForums Tanzania Ningependa kujua haya

    Kwahiyo mkuu faida ninazozipata kwenye maziwa freshi ndio hizo hizo nazipata kwenye maziwa mtindi ila kwa kiasi kidogo au ulikua na maana tofauti na hiyo?
  4. H

    JamiiForums Tanzania Ningependa kujua haya

    Habari wadau Ningependa kuuliza kuwa kuna athari gani kula mchanganyiko wa matunda mengi katika mlo mmoja? Hii inatokana na katika migahawa mingi hapa Dar es salaam, na hata ukipita maeneo ya postal utakuta watu wanakatakata matunda aina nyingi na kuyaweka kwenye kifungashio kwaajili ya...
  5. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini waswahili/ watanzania hatuna herufi zetu?

    Maelezo kidogo kuhusu hii picha ndugu
  6. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini waswahili/ watanzania hatuna herufi zetu?

    Kweli kabisa, naamini kuna umuhimu wa kufanya hivyo
  7. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini waswahili/ watanzania hatuna herufi zetu?

    Mahitaji yapo, ukiangalia lugha zetu za asili haziandikiki kwa hizi herufi ulosema ni za kilatini Hata na hivyo nilitaka kujua kwanini wao waweze kuwa na herufi zao na sisi tushindwe! Na sio kwamba nilihitaji kujua umuhimu wa sisi kuwa na herufi zetu
  8. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini waswahili/ watanzania hatuna herufi zetu?

    Pamoja sana ndugu
  9. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini waswahili/ watanzania hatuna herufi zetu?

    Shukrani sana kwa maelezo yako mazuri, vilevile ingekua vizuri ungetupa andiko au link ya kusoma kuhusiana na tamaduni za waswahili wa kale
  10. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada kwenye uandishi wa kiswahili

    Shukrani mkuu kwa majibu yako
  11. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini waswahili/ watanzania hatuna herufi zetu?

    Unataka mfano gani mkuu? Siunaona wachina wanaherufi zao kama hivi 你好, za kwetu si tunatumia za Wazungu( A -- Z)
  12. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini waswahili/ watanzania hatuna herufi zetu?

    Nimefuatilia jamii nyingi duniani zina herufi na namba zao, mfano wachina, waarabu, wakorea, wazungu Je nini chimbuko la herufi na namba hizi? Walifanikiwa vipi walio na herufi zao? Msaada kwa mwenye ufahamu
  13. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada kwenye uandishi wa kiswahili

    Naomba watalaamu wa kiswahili wanisaidie kwanini tunaandika Mbwa badala ya Mmbwa,Mbu badala ya Mmbu na ikizingatiwa kimatamshi tunatamka Mmbwa na Mmbu badala ya Mbwa, Mbu? Maneno yapo mengi ila hayo ni kama mfano
Back
Top Bottom