Tunapenda kutangaza nafasi ya kujitolea kufanya kazi kwa kipindi cha miezi mitatu (3) katika idara ya Sales and Marketing.
Allowance ya nauli (TSH 180,000) itatolewa kila mwisho wa mwezi
Chakula cha asubuhi na mchana kitatolewa uwapo kazini
Hakutakuwa na mshahara zaidi ya allowance ya nauli...
Habari?
Nahitaji vijana wawili (wakike na kiume) kwa ajili ya kunifanyia kazi ya kutuma email kwa baadhi ya wateja wangu (email marketing) kulingana na orodha ntakayowapa.
- Kwa siku wanatakiwa kutuma email 100
- Kazi ni ya siku 30 na malipo yake ni TSH 200,000
- Watahitajika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.