Recent content by Herzog

  1. Herzog

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Leo ile kiu yetu ya kuona KDB na Foden wanaanza pamoja kwenye midfield inaweza kukatwa. Unless Pep aamue kumchezesha winga foden, basi leo tutamuona aki pair na KDB Kwenye 2-2 structure pale kati. KDB..............Foden Rodri..........Stones
  2. Herzog

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Game itakua tamu madrid wakiamua kufunguka full, leo Kdb yupo hapo ndo watamjua halaand ni dude gani.
  3. Herzog

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Domination hiyo ni uhakika lazima watuachie mpira then wao wacheze mipira mirefu na counter. Cha muhimu ni kuwa clinical tunapopata nafasi tunawamaliza hapohapo.
  4. Herzog

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Wakati tunaendelea kungoja kabumbu safi hebu tujikumbushe safari yetu ya ubingwa wa ulaya msimu wa 2022/23. Group stage Sevilla 0-4 Manchester City Manchester City 2-1 Borrusia Dortmund Manchester City 5-0 Copenhagen Copenhagen 0-0 Manchester city Manchester City 3-1 Sevilla Borussia Dortmund...
  5. Herzog

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Pep Guardiola is the coach who has eliminated Real madrid in UCL many times than anyone else. Los blancos' arch nemesis.
  6. Herzog

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Jamie Carragher says he doesn't see any team in Europe to beat City.
  7. Herzog

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Wahispaniola wawili jana wametupiwa virago, leo tunammalizia baba yao.
  8. Herzog

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Refa aliyechezesha game ya jana ya barca vs psg alikua analipa kisasi cha ile game ya 6-1 😂
  9. Herzog

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Mpaka nlikua nshasahau mara ya mwisho tumefungwa etihad lini kwenye UCL
  10. Herzog

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Mpaka nlikua nshasahau mara ya mwisho tumefungwa etihad lini kwenye UCL
  11. Herzog

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    "we will give it everything" Pep on City vs Madrid
  12. Herzog

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Kuna ripoti zinasema city tupo willing kutoa £ 120m kwa ajili Jamal Musiala. Duuh, imagine musiala under pep.
  13. Herzog

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Eti wanafungwa Arsenal na Liverpool kwa uzembe wao, lawama tunapewa city tunaifanya ligi iwe ya wakulima 😂😂
  14. Herzog

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Shida ni kwamba tumeshaset the bar too high...imagine liverpool anamaliza na point 97 still hachukui kombe 😂😂 Hili la mwaka huu tukibeba ni kwasababu ya uzembe wa liverpool & Arsenal, kama wangeshinda game zao zote zilizobaki sie tungekua zetu tumetulia nafasi ya tatu hatuna noma na mtu. Sasa...
  15. Herzog

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    😂😂 walete ushahidi sio stori za vijiweni.
Back
Top Bottom