Recent content by Hery Laurent

  1. Hery Laurent

    JamiiForums Tanzania Nani anaewapangia combinations wanafunzi wa Form V? Inawezekana vipi mwanafunzi aliyepata 'F' ya hesabu apangiwe 'HGE'?

    Hello,. Ivi HGE mtu akisoma akienda chuo ni course ipi inayomfaa kusoma ambayo ni rahisi kutoboa
  2. Hery Laurent

    JamiiForums Tanzania Tahasusi ya HGE ina faida kwa dunia ya sasa? Naweza kubadili mtandaoni au mpaka nifike shule?

    Hello, Mimi nimechaguliwa HGLi na nilitaka HGE. Math nina C so nilitaka kubadili kabla sijafika shule Naombeni kujua kama kuna uwezekano wa kubadili tahasusi mtandaoni.
Back
Top Bottom