Recent content by Herode

  1. H

    JamiiForums Tanzania Thanx allah nimepangiwa kituo cha bagamoyo...............karibun i bagamoyo wapendwa,,,,ualimu nu rah

    Sasa hivi bagamoyo sio ile ya zamani,usijali lami ya dsm imepita na imeunganisha sehemu nyingi na kuondoa kero ya usafiri. KARIBU SANA BAGAMOYO ILA UJITUME...
  2. H

    JamiiForums Tanzania "NAKARIBIA KUFUKUZWA CHUONI" Nisaidieni MWENZENU.

    kijana usijifanye mjanja inaonekana hujui shida wewe na siku yakikukuta utajinyonga.Kama huwezi kutoa msaada kaa kimya.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Serikali msifumbie macho uzandiki huu: Upotoshwaji kuhusu nacte-baraza la mitihani

    waislam muda mrefu wamekuwa wakilalamika kuhusu necta na kuonesha waziwazi kutokuwa imani na baraza hili lakini kabla hatujawaita wadini na wanakazania sana elimu ya dini hebu kwanza tuangalie udhaifu wa hii necta uliojitokeza ktk kupanga matokeo hasa ya somo la islamic uliotokea mwaka...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Ajira Mpya Za Walimu Ni Kama Kesi Ya Lulu.

    Na bado mkuu wa nchi anasisitiza kuwa ajira ni tatizo isipokuwa kwa sekta 2,elimu na afya.
  5. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wajitokeza UDOM kuwasaidia wanafunzi wasio na mkopo mpaka sasa

    Think twice,lete hoja.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ajira Mpya Za Walimu 2013

    Hapa hakuna cha subira kwani malengo ya watu yamevurugika kwa ahadi zao zisizokuwa na uhakika.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kwa nini web ya ajira (moe.go.tz haifunguki muda huu?)

    Hi ni aibu haiwezekani sekta nyeti kama hii kuendesha mambo kienyeji.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la matatizo ya ualimu ni kuacha ualimu

    Kuacha kazi si suluhisho kwasababu mwalimu ndio kila kitu ktk jamii cha msingi ni kuboresha mazingira aliyokuwa nayo huyu mwalimu.Chukulia kwamba shule zikawa hazina walim unafikiri hata hiyo biashara itafanyika vp ikiwa wahusika hawana elimu... ELIMU KWANZA MAMBO MENGINE YANAFUATA.
Back
Top Bottom