Jamani mi nahisi ishu ya kuchelewesha utangazaji wa matokeo kuna kitu behind it,hasa ikizingatiwa kuwa hilo linaonekana kujitokeza kwenye yale majimbo yenye utata mtupu.Hizo hesabu hata kama ni manual na calculation ni manual sidhani kama ingeweza kuchukua muda mrefu kiasi hicho.Hili linapingana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.