Recent content by HermanR

  1. HermanR

    JamiiForums Tanzania Kuagiza bidhaa nje ya nchi.

    Mimi nimenunua machine kutoka China kupitia alibaba hapo ni makubaliano yenu baina yako na seller kuhusu usafiri na Mara nyingi wewe unaenunua ndo uchague njia sahihi na ya haraka. Mzigo ukifika utafanyiwa ukaguzi tra na utalipia kodi itakayo pigiwa from your purchasing risiti
Back
Top Bottom