Recent content by Herith Haji

  1. H

    JamiiForums Tanzania Ulipokua shule ya msingi unakumbuka tukio gani ambalo hulisahau?

    Aisee niliteuka mkono nikiwa darasa la kwanza kisa kukimbia juu ya madawati
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kwa wanao 'resit' mitihani ya taifa, alama za ufaulu zikoje?

    Jamani naombeni mnisaidie swala moja, hivi alama za usahihishwaji wa mitihani ya wanaorudia mitihani ya taifa zipo tofauti na wale ambao hawarudii? Na kama ni tofauti, tofauti yao ni ipi? Na ni kwa vidato vyote au wanabagua vidato?
Back
Top Bottom