Recent content by HENDRXX

  1. HENDRXX

    JamiiForums Tanzania Daima dumisha picha nzuri ya wewe mwenyewe machoni pako, ulimwengu wa nje haujalishi

    Hakuna mtu atakayekutendea sahihi ikiwa hujithamini wewe mwenyewe. Ikiwa unataka heshima kwa wengine wakuzungukao, basi udumishe picha nzuri ya wewe mwenyewe machoni pako na rohoni mwako jinsi gani unajifikiria. Kama utawapa wengine udhibiti huo, watakupuuza hadi kufikia hatua ambayo hutaweza...
  2. HENDRXX

    JamiiForums Tanzania Kipi unafanya ili kujituliza wakati unapitia magumu?

    kwanza situation unayopitia sio ya pekeyako ni wengi wanapitia kuna mambo kadhaa tu ya kujua mfano wakati ukiona akili yako imestack jaribu kutumia mda wako mwingi unapokua free kua na familia yako au wale ndugu zako ambao una amini wanakupenda na kushauriana mambo kadhaa n.b rafiki wa kweli ni...
Back
Top Bottom