Habari ndugu wanajamii
Sisi walimu wa ajira mpya wilaya ya Kwimba-Mwanza tarehe 31/08/2026 tumelipwa kwenye account zetu shillingi laki tatu na elfu sitini tu (Tsh.360,000/=) kama hela yetu ya kujikimu na tulistahili kulipwa zaidi ya Laki tisa.
Tunaomba mamlaka husika ngazi za juu zitusaidie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.