Nauza Gpu yangu ambayo nilinunua mwenyewe mpya ya gigabyte gt 1030, inacheza games nyingi za zamani 1080p low setting na games mpya kwa 720P.
-Vram 2GB Gddr5
-ulaji umeme maximum watts 30
-inaingia desktop yoyote sababu ni low profile.
-ina play video 4K 60fps.
Pia ipo processor ya i5...
Ndio inawezekana, ila ufahamu kwanza aina ya hio ssd, mimi ninauza sata na M.2, zipo aina nyengine pia. Ukishafahamu aina itakuwa rahisi kutafuta hio hio.
Pia zipo storage za simu zinaitwa emmc ama ufs, kuna laptop zinatumia hizi storage, hutaweza kubadili.
Storage capacity ni hio hio, 2tb ya ssd na 2tb ya hdd inaingia mafile sawa.
Utofauti ni speed, mfano ssd ina Hamisha mafile 500MB kwa sekunde na HDD 50MB kwa sekunde ina maana ssd ita Hamisha mafile kwa haraka zaidi. Unapowasha computer, windows mafile mengi inabidi ya load, kwa ssd computer...
Amazon hawauzi nchi nyengine, na ikitokea wanauza bei inakuwa ndefu.
Mfano india firestick ni rupee 6000 ambazo ni sawa na 187,000 ya Kitanzania,
Usa pekee ndio inakuwa bei rahisi, Amazon wanauza kwa bei ndogo kule sababu wanajua utanunua Amazon prime na wao watafaidika kila mwezi.
Hio bei...
Umechoshwa na Tv box za kichina ambazo zipo slow, ngumu kutumia na hazina features nyingi? Karibu kwenye ulimwengu mpya wa Android kwenye Tv yako kwa kutumia Fire stick.
Fire stick ni tv Box ambayo inaweza kubadili tv yoyote ambayo sio smart kuwa smart, pia wale wenye smart tv wanaweza kuitumia...
nauza SSD mpya zenye ukubwa wa GB 240 kwa ajili ya laptop na desktop, SSD hizi ni brand ya kingston (A400) unafungua mwenyewe zipo sealed na hazijawahi kutumika. hii model imetoka amazon na sasa hivi ndio ssd inayouzika kwa sana Duniani, kwa wale wanaotaka kuhama toka HDD. unaweza kuiangalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.