Recent content by Helsinki

  1. Helsinki

    Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

    I salute you Mkuu,hongera sana [emoji1474][emoji1474][emoji1305][emoji1319] umeandika vizuri sana na ukweli sana.Ni wachache sana tutakuelewa.Unapatikana wapi mkuu?unaishi wapi na unajihusisha na nini?
  2. Helsinki

    Car4Sale Toyota Landcruiser Prado Linauzwa Changamkia Offer

    Juu Ya bei mazungumzo yapo sana,if you are a serious buyer Wasiliana na mimi kwenye no zangu 0754976082 Au 0674951020.
  3. Helsinki

    Car4Sale Toyota Landcruiser Prado Linauzwa Changamkia Offer

    Wakuu jitahidini kuservice magari:magari ni Kama unavyoongalia afya ya mwili wako kwa kufanya check up mara kadhaa ndani ya mwaka.Gari ni hivyo hivyo lazima lifanyiwe service ili kuepusha ajali,ajali nyingi ni uzembe wetu wenyewe(man-made).[emoji1431][emoji1431]Sijawahi kupata ajali na hii gari...
  4. Helsinki

    Car4Sale Toyota Landcruiser Prado Linauzwa Changamkia Offer

    20 million mkuu mazungumzo yapo,na mimi nitafurahi sana mkuu ukipata unachokitaka.Ukitaka kuliona Wasiliana na Mimi!![emoji1431][emoji1431]
  5. Helsinki

    Car4Sale Toyota Landcruiser Prado Linauzwa Changamkia Offer

    Habari Wakuu,Kama muonavyo topic hapo juu nauza Prado.Below are the pictures attached.Please no yangu ni 0754 976 082 mnaweza kunipata pia kwenye What'sapp.Napatikana DSM. NO YANGU YA SIMU 0754 976 082 NAPATIKANA PIA WHATSAPP.NAPATIKANA PIA KWENYE NO 0674 951 020.MAZUNGUMZO YAPO...
Back
Top Bottom