Ww unaweza nikupe hy kazi ufanye halafu uone km inawezekana? Shida sio kuedit taarifa nataka kuondoa kabisa hicho kisiwepo wewe unaweza maana ukiona mtu anasema ujue amejaribu
Wizara inayohusika na mfumo wa ajira potal hebu isikie kero za watu juu ya huo mfumo, imekuwa shida kubwa sana kutuma maombi ya kazi kupitia mfumo huo maana huwezi kutuma maombi mpaka ufike asilimia 70% kila ukijaza hazifiki lakini pia huwezi kuondoa vyeti ulivyoviweka kuweka vyengine pia huwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.