Recent content by hekman123

  1. H

    KERO Kipindi cha mvua abiria wanateseka sana katika Uwanja wa ndege Mwanza, hakuna miundombinu ya kuwakinga na mvua

    Abiria wanaotumia Uwanja wa Ndege wa Mwanza wanakabiliwa na usumbufu wakati wa kupanda na kushuka kwenye ndege, hasa kipindi cha mvua, kutokana na kutokuwepo kwa madaraja maalumu ya kuunganisha ndege na jengo la abiria (Jet Bridges/Jetways). Hali hiyo inawalazimu abiria kutembea kutoka au...
Back
Top Bottom