Recent content by Hekaya za Mswahili

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mwalimu aliiona mbegu ya Ubinafsi wa Lowassa toka mwanzo

    Ndugu wanajamvi, najua kati yenu wapo mashabiki wa siasa za Ujamaa na kujitegemea, siasa zilizogusa Uzalendo na kujiamini, hawa wanaoguswa sana na maono ya Mwalimu Nyerere na watu wa aina ya Mwalimu na kwa upande mwingine wa fikra wapo wanaoguswa na siasa zinazoitwa "tulianguka wote, tutainuka...
Back
Top Bottom