Ni simple tu dugu pangaukela, kua agent wa insurance ni kufanya kazi kwa niaba ya principal wako ambae ni kampuni ya bima, kazi yako ni kuwatafuta wateja na kuwauzia product za kampuni, na wewe unapata malipo kwa commission, kwa kifupi productza bima zimegawanyika sehemu kuu 2, aina ya kwanza ni...