Recent content by Hearly Loyalty

  1. Hearly Loyalty

    JamiiForums Tanzania Putin na msimamo wake, asema anaifikiria Urusi kama Nchi ya Kikristo

    Hakuna maswala ya kiburi cha uzima acha uongo Imani ni kitu complexity sana full uongo na udanganyifu that's why unaona kile Ambacho unacho kiamini wewe katka Imani Yako either uwe mkiristu muislam hakuamini hicho na Kwa upande wake ana jiona Yuko sahihi , ni hivyo hivyo Kwa Buthism, Hinduism...
  2. Hearly Loyalty

    JamiiForums Tanzania Putin na msimamo wake, asema anaifikiria Urusi kama Nchi ya Kikristo

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  3. Hearly Loyalty

    JamiiForums Tanzania Putin na msimamo wake, asema anaifikiria Urusi kama Nchi ya Kikristo

    Unafikira za kizamani sana kwani Kila anaye kufa anazikwa !? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuzikwa ni utamaduni unao tegemea na culture uliyo rithi toka Kwa watu walio kutawala au kukulea ukienda India china Korea etc Kuna baadhi ya clan Huwa zina choma maiti hata wewe...
  4. Hearly Loyalty

    JamiiForums Tanzania Putin na msimamo wake, asema anaifikiria Urusi kama Nchi ya Kikristo

    Ninacho kiona hapo ni kwamba Putin anajaribu kutaka kulijenga taifa lake ktk misingi ya watu wanaoamini ktk dini Ili iweze kuwa rahisi kuwa tawala watu hao nothing much Dini ni Moja ya silaha ya kuwafanya watu wa taifa /mataifa wawe watulivu Wenye hekima busara na hofu so matendo Yao hayato...
  5. Hearly Loyalty

    JamiiForums Tanzania Putin na msimamo wake, asema anaifikiria Urusi kama Nchi ya Kikristo

    Hao hawajawahi kuwa timamu
  6. Hearly Loyalty

    JamiiForums Tanzania Ujerumani: Euro bilioni 65 kutolewa kwa wananchi kukabiliana na gharama za maisha

    Yajayo Yana furahisha [emoji1787] Watajua hawajui
  7. Hearly Loyalty

    JamiiForums Tanzania Ujerumani: Euro bilioni 65 kutolewa kwa wananchi kukabiliana na gharama za maisha

    Mean while wewe una uelewa mkubwa sana ndio maana nimshauri mkuu wa serikali Yako ya JMTZ na umeisaidia serikali hiyo kuwa taifa la kwanza linalo ongoza Kwa uchumi mkubwa Africa mashariki [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  8. Hearly Loyalty

    JamiiForums Tanzania Ujerumani: Euro bilioni 65 kutolewa kwa wananchi kukabiliana na gharama za maisha

    Sasa Waka nunue gesi huko waache kulia kulia [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nadhani wewe utakuwa unajua zaidi kuliko viongozi wa EU wapatie ushauri Ili wasikutane na mfumuko wa bei unao sababishwa na vikwazo walivyo muwekea wao wenyewe Russia
  9. Hearly Loyalty

    JamiiForums Tanzania Ujerumani: Euro bilioni 65 kutolewa kwa wananchi kukabiliana na gharama za maisha

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  10. Hearly Loyalty

    JamiiForums Tanzania Ujerumani: Euro bilioni 65 kutolewa kwa wananchi kukabiliana na gharama za maisha

    Yaani awe na Urafiki wa kibiashara na watu walio mpiga sanctioned, ukimwaga Ugali na mwaga mboga [emoji1787] Sio lazima kufanya biashara na ulaya magharibi mataifa yapo mengi mbona Acha wapewe kichapo Cha uchumi
  11. Hearly Loyalty

    JamiiForums Tanzania Ujerumani: Euro bilioni 65 kutolewa kwa wananchi kukabiliana na gharama za maisha

    Yaani mtu ana tumia akiba yake wewe una furahia unaona ni jambo zuri ama kweli akili ni nywele [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] H Ukiona mtu / Taasisi Ina tumia akiba it means imeshindwa kuzalisha kile ilicho kuwa inaingiza awali...
  12. Hearly Loyalty

    JamiiForums Tanzania Urusi yaishiwa silaha yaamua kuagiza North Korea

    Ndio hao hao waliokuambia kuwa Kim jong UN anaumwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Putin anaumwa , kima jong UN kafariki [emoji1787]
  13. Hearly Loyalty

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa mno yafanyika Czech dhidi ya serikali, EU na NATO

    [emoji28][emoji1787]
  14. Hearly Loyalty

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa mno yafanyika Czech dhidi ya serikali, EU na NATO

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Back
Top Bottom