Hahaha!!! Hizo ni kazi za kizalendo mishara ni midogo sana. Kufananisha na hali ya maisha ya sasa!! Anyway, kama umeitwa kwenye usail kapige tu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ofisa si lazima awe na elimu ya juu mzee!!! Kwa maana hiyo hao wenye degree wanaenda kuamdaliwa kuwa maofsa wa MT!! Sasa huoni umuhimu wa degree kwaninj mkuu??
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.