Recent content by Hayash

  1. Hayash

    JamiiForums Binti ananikataa kuwa mimba siyo yangu ikiwa mwanzoni aliniaminisha kuwa ni yangu na nikahudumia

    Hilo sina hakika nalo mpaka DNA mkuu ili kuna wataalam wa haya mambo, wanaweza kusema chochote kutokana na taswira ya hilo jambo.
  2. Hayash

    JamiiForums Binti ananikataa kuwa mimba siyo yangu ikiwa mwanzoni aliniaminisha kuwa ni yangu na nikahudumia

    Nataka kujua kutoka kwa wenye uzoefu nifanyaje kwa hili Jambo? Au niendelee kukaa kimya tu
  3. Hayash

    JamiiForums Binti ananikataa kuwa mimba siyo yangu ikiwa mwanzoni aliniaminisha kuwa ni yangu na nikahudumia

    Habari Wana forum, naomba ushauri, ni kijana wa kiume mwenye umri miaka 25 nilikuwa na mpenzi mwenye miaka 21. Baada ya kudumu kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja ikiwa yeye bado anaishi kwa wazazi wake nilifanikiwa kumpa ujauzito, nikachukua jukumu la Kulea Ile mimba bila kujulikana kwa...
Back
Top Bottom