Recent content by hatibu ali

  1. H

    JamiiForums Tanzania Ukikopa benki na kuweka mali yako dhamana, benki wanafuta hatua gani kuuza mali hiyo?

    Baba alikopa fedha benki kwa kuweka boma lake kama dhamana, lakini alishindwa kulipa deni lote. Kutokana na hali hiyo, benki ilichukua hatua ya kuuza boma hilo, lakini liliuzwa kwa bei ya chini kuliko ilivyotarajiwa.
Back
Top Bottom