Recent content by hateeb10

  1. hateeb10

    JamiiForums Tanzania Watoto ni matokeo ya ngono, Si zawadi wala baraka kutoka kwa Mungu!

    Uthibitisho upo wapi? au umeamua tu iwe hivyo
  2. hateeb10

    JamiiForums Tanzania Watoto ni matokeo ya ngono, Si zawadi wala baraka kutoka kwa Mungu!

    Hahh duh kwamba huo ndiyo mfano uliopata? Sitaki kukupeleka mbali nakuuliza swali rahisi tu,.. kwenye huo mfumo uliotaja Kipi kilianza?,. Mwanaume/Mwanamke au Mbegu/Yai?
  3. hateeb10

    JamiiForums Tanzania Watoto ni matokeo ya ngono, Si zawadi wala baraka kutoka kwa Mungu!

    Ndiyo uthibitisho wa kimantiki upo,... kwa kuwa hakuna mfumo uliowahi kujiunda wenyewe basi hata mifumo ya Miili yetu haijajiunda... Ukikataa nitajie mfumo japo mmoja tu ambao unaweza kuthibitisha kwamba umejiunda wenyewe na unafanya kazi kwa ufanisi..... ukiweza nitakubali unasema kweli 100%...
  4. hateeb10

    JamiiForums Tanzania Watoto ni matokeo ya ngono, Si zawadi wala baraka kutoka kwa Mungu!

    Unaposema haijaundwa inabidi ulete uthibitisho kwamba,. licha ya mifumo kuonekana kwenye mpangilio wa kitaalamu hakuna ujuzi wowote uliotumika kufanya mifumo hiyo iwe hivi tunavyoiona. sio unalazimisha kwamba UJUZI haujatumika,. ukiulizwa mifumo imejipangiliaje kitaalamu na kwa usahihi hivyo...
  5. hateeb10

    JamiiForums Tanzania Watoto ni matokeo ya ngono, Si zawadi wala baraka kutoka kwa Mungu!

    Nina uhakika kwamba mifumo imeundwa kwa sababu tunaona ipo kwenye mpangilio unaowezesha miili yetu kufanya kazi tena kwa kutegemeana kati ya mfumo mmoja na mwingine (organization na functional relationship), We jiulize kama ukikuta gari lina engine, gearbox, brakes, steering na wheels, halafu...
  6. hateeb10

    JamiiForums Tanzania Watoto ni matokeo ya ngono, Si zawadi wala baraka kutoka kwa Mungu!

    Thibitisha,....
  7. hateeb10

    JamiiForums Tanzania Watoto ni matokeo ya ngono, Si zawadi wala baraka kutoka kwa Mungu!

    Sijasema "Muumbaji" Swali langu ni..... huoni kama mifumo iliyopo inaonekana imeundwa kitaalamu? Pia kimsingi ni kwamba wewe ni kama Binadamu wengine tu hujui umefikaje hapa na hujui wapi unaelekea,.... kinachobaki unafanya assumptions tu ambazo huna uhakika nazo, so hutakiwi kulazimisha...
  8. hateeb10

    JamiiForums Tanzania Watoto ni matokeo ya ngono, Si zawadi wala baraka kutoka kwa Mungu!

    Nini maoni yako juu ya mfumo mzima wa uzazi? Je, inatosha akili yako kuhitimisha kwamba mfumo huo umejiweka tu kwa bahati mbaya? Engineering ya mfumo mzima wa ngono na kuzaliana unauonaje? umetokea by coincidence? Sawa!! Huoni kwamba kuna utaalamu umetumika kuweka hiyo mifumo mzee? 🤣 ,....
  9. hateeb10

    JamiiForums Tanzania Watoto ni matokeo ya ngono, Si zawadi wala baraka kutoka kwa Mungu!

    Muulize kwa kuwa Watoto ni matokeo ya Ngono,.. Je kati ya Ngono na Jinsia mbili zinazofanya ngono.... kipi kilianza kuwepo? Infropreneur
  10. hateeb10

    JamiiForums Tanzania NASA INATUCHANGANYA! Je, Ni Kweli Dunia Inazunguka kwa Kasi ya KM 1,600/Saa au Tumeaminishwa Uongo?

    Nimeiona hii Video Ig,.. mnasemaje wadau? https://www.instagram.com/reel/DYASNT0sA6y/?igsh=MWFhbHFwcXlrbTlvdA==
  11. hateeb10

    JamiiForums Tanzania NASA INATUCHANGANYA! Je, Ni Kweli Dunia Inazunguka kwa Kasi ya KM 1,600/Saa au Tumeaminishwa Uongo?

    Anashindwa kuelewa kitu kidogo tu kwamba unaweza ukaelewa lakini kama huwezi kuthibitisha ulichokielewa maana yake umeamua kuamini tu,.. kwa mfano mtu unaweza ukasoma Evolution theory ukaelewa process nzima vizuri kabisa ila ukiambiwa uthibitishe huwezi,. Sasa hapo maana yake kuelewa kwako hiyo...
  12. hateeb10

    JamiiForums Tanzania NASA INATUCHANGANYA! Je, Ni Kweli Dunia Inazunguka kwa Kasi ya KM 1,600/Saa au Tumeaminishwa Uongo?

    So kupitia Artemis II bado hatuwezi kuhitimisha 100% kwamba Dunia inazunguka,............ maana kama hatuna njia/tech ya kutufanya tu observe jinsi Dunia inavyozunguka na wala sisi wenyewe hatuhisi kwamba Dunia inazunguka,. ni mechanism gani ambayo itawezesha milango yetu ya fahamu iweze...
  13. hateeb10

    JamiiForums Tanzania NASA INATUCHANGANYA! Je, Ni Kweli Dunia Inazunguka kwa Kasi ya KM 1,600/Saa au Tumeaminishwa Uongo?

    Hili tukio lilifanyika mwaka 1969.....😅
  14. hateeb10

    JamiiForums Tanzania NASA INATUCHANGANYA! Je, Ni Kweli Dunia Inazunguka kwa Kasi ya KM 1,600/Saa au Tumeaminishwa Uongo?

    Nimeomba uthibitisho,. Bwana Lax akasema washatoa maelezo,.. ndiyo nikauliza "Maelezo yanatosha kuthibitisha kwamba Dunia inazunguka?"
Back
Top Bottom