Recent content by Hassan sele jr

  1. Hassan sele jr

    Kuna ulazima kwa mwenye leseni Daraja C kusoma tena C1, C2, C3?

    Hivi kama umesomea na una leseni daraja C, Kuna ulazima wa kusoma tena C1, C2, C3? Huwezi kutumia C kuendeshea hizo☝️? Wanahusika na kuendesha magari ya aina gani? Eti hili uwe na leseni daraja C ni lazima uwe na (PSV)?
Back
Top Bottom