Recent content by Hassan Longoi

  1. Hassan Longoi

    Uongo una mwisho

    UONGO UNA MWISHO Katika historia ya Tanzania kisiasa hakuna chama cha upinzani ambacho kimeshambuliwa kwa muda mrefu kwa hoja za UONGO kama CDM nitazitaja kwa uchache:- UKANDA, CDM ilihusishwa na kanda ya kaskazini kisa tu waanzilishi wake wametoka huko lkn hoja hii haina mashiko! Tena...
  2. Hassan Longoi

    Mabadiliko ni sasa, Iramba Magharibi

    "Whatever there be of progress in life comes not through adaptation but through daring." Asanteni wana jamvi, japo safari ya ukombozi ni ndefu, HAKIKA bila kuthubutu, hatutopiga hatua yoyote mbele. Nitaanza mimi leo, lakini bila wana.Iramba kukipokea kijiti hiki cha mabadiliko, safari haitofika...
  3. Hassan Longoi

    Mabadiliko ni sasa, Iramba Magharibi

    Wasalamu wana jamvi Ndg wanajamvi wenzangu tumekuwa tukijadili mambo mengi katika jamvi hili ya kisiasa,kiuchumi na kijamii. Yote hayo ni ktk kulijenga taifa letu. Taifa lolote duniani hujengwa na raia wake, nami ni raia mwenye wajibu kama huo. Ili Taifa liendelee na Kustawi vizuri tunahitaji...
Back
Top Bottom