Hakuwa nadamu ya kitanzania na ndiyo maana alikuwa tofauti.Kikwete ni habari nyingine,roho safi na ndiyo maana ataendelea kupendeza.Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Enzi zao kulikuwa na mifumo thabiti ya kutatua matatizo ya wanaichi.Wakuu wa wilaya na Mikoa walikuwa na muda wa kushughulikia matatizo ya watu.Hivi Sasa muda wa kuwepo ofisini hawana tokana na mfumo ulivyo.Inaonyesha wewe haukuwepo zama hizo ndiyo maana unamtukana Mzee huyu.
Ilivyo Sasa ndiyo gharama kubwa Sana kuwalipa Mayor's wakuu wa mikowa na MaDC ambapo ni wengine nchi nzima.Nafasi ya Mayor ndiyo ya Governor na ni 8 TU nchi Zima hakuna maDC Wala MaRC.Watendaji wa Serikali watakuwsMaRAS na MaDAS MaDED ni watetaji wa halmashauri.Gharama ya kuendesha Serikali...
Uchumi umesinyaa, mauzo kwenye biashara zetu yamepungua kwa asilimia takribani 60. Hivi tunalazimika kulipa kodi ya mapato, Leseni ya biashara, Fire Extiqusher, Tozo za kuzoa taka, kodi ya chumba cha biashara pia kuna kodi ya municipal ambayo hatuijui hata maana yake. Sasa unapunguziwa muda wa...
Waliopiga Dili wanaendelea kula vyao hata baada ya vyuma kubana. Dili zao walizitakatisha na kuwa assets halali. Tunaoshangilia kuwa wamekomolewa ndiyo tunaendelea kukipata cha mtema kuni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.