Recent content by Hassain

  1. H

    Je kuna ukweli wowote kuhusu nafasi hizi za kazi?

    Pole kijana mwenzangu kwa kuibiwa na hao jamaa, lakini usikate tamaa, kuwa makini tu, mie nilijua hawa ni wezi tu ndomana nikaamua niisaidie jamii kwa kuwatahadharisha na hawa jamaa, sasa inabidi wachukuliwe hatua!!!
  2. H

    Je kuna ukweli wowote kuhusu nafasi hizi za kazi?

    Mie hawawezi wakanipata hawa, nimeshakutana na matangazo kama haya mengi mtaani na nimeyapotezea. hapa nilikua nawafahamisha ndugu wana jf wachukue tahadhari na watu kama hao. nimetumia style hiyo kutoa hoja.
  3. H

    Je kuna ukweli wowote kuhusu nafasi hizi za kazi?

    papipa Tujuzane wana jf kuhusu hawa jamaa, leo wameweka matangazo yao kwenye mitaa ya magomeni mapipa dar, ukipiga sim wanakwambia uje na shilingi 2000 ya form kesho!! je hawa ni wale wasambazaji vipodozi vya kichina!?
  4. H

    IT Professional In Website dgn&Maintenance ,Database, Networking&Pc Maintenance Available.

    Asante sana mkuu kwa kunielewa, hakuna mtu asiotaka kujiendeleza kielim lakini utasoma atakulipia nani? ukweli mie nimesoma kwa kulipiwa na board ya mikopo (boom), wazazi wangu wamefaliki kitambo tu mama wakati nipo lasaba farther form five kwahiyo niliyumba sana ki maendeleo.
  5. H

    IT Professional In Website dgn&Maintenance ,Database, Networking&Pc Maintenance Available.

    Asante mkuu, lakini hebu nidadavulie kidogo kuhusu hii KINu..kinuvation wanapatikana wapi? nikagonge code mie!!
  6. H

    IT Professional In Website dgn&Maintenance ,Database, Networking&Pc Maintenance Available.

    Thanks, lakini sie tuliomaliza mwaka 2012 hatutakiwi kwenye lile tangazo. sijui tuanzie wapi?
  7. H

    IT Professional In Website dgn&Maintenance ,Database, Networking&Pc Maintenance Available.

    Habari wana jf wenzangu!, mtaani kunachosha na mtaji hatuna!! Nimeshaandika barua nyingi sana na CV lakini majibu hamna, Kwahiyo nawasilisha kwenu kama kuna mtu au kampuni inahitaji mfanya kazi anaeshuhulika na maswala ya IT Nipo tayari kwenda popote ndani ya TZ. Elimu yangu Degree ya kwanza...
Back
Top Bottom