Bio gesi ni nishati ambayo hutengezwa kwa kutumia kinyesi cha wanyama kama vile ngombe, mbuzi na kondoo, na wanyama wengine ambao ni wakufugwa,pia huzalishwa baada ya kuoza kwa mbolea ya wanyama au taka za kikaboni.
Picha Baraza la usimamizi wa mazingira
(NEMC)...
Ubia kati ya Serikali na sekta binafsi katika miradi ya maendeleo ( public private partnership), katika kuleta maendeleo ya kuichumi ni muhimu, kwa Tanzania ubia kati ya serekali na sekta binafsi unaongozwa na kanuni na sheria na sera ya ubia yani (public private partnership regulations of...
Wizara ya ujenzi inatakiwa kufanya kazi bega kwa bega na wizara ya madini ilikurahisha upatikanaji wa malighafi za ujenzi wa miundombinu ya barabara ili ujenzi uweze kukamilika kwa wakati na wananchi kuanza kupata huduma kupitia miundombinu iliyopo katika maeneo Yao.
Kutokana na mabadiliko ya...
Tanzania tuitakayo katika miaka mitano ijayo na kuendelea Vyombo vya habari kama vile vituo vya redio, magazeti, na vituo vya runinga, vinapaswa kutoa fursa kwa vijana ambao wana ubunifu& maarifa na ujuzi na badale yake huajiri watu wasio kuwa na taaluma ya uandishi na utangazaji na kuajiri watu...
Sekta ya Afya hapa Tanzania ni miongoni mwa sekta nyeti ambazo serekali imeweka mkazo katika kufanya maboresho ili kuweza kuboresha utoaji huduma Bora za Afya kwa watanzania.
Baadhi ya mifumo ya Tehama ambayo hutumika katika sekta ya Afya ni kama vile " District health management information...
Vitengo vya huduma kwa wateja katika mashirika, taasisi za umaa na kwenye serekali za mitaa vinapaswa kuboreshwa katika miaka mitano ijayo nakuendelea kwa sababu ndivyo vinabeba dhima ya utaoji wa huduma kwa wananchi Kwani kwenye baadhi ya taasisi za umaa Zimekuwa zikiacha kuweka mkazo kwenye...
Uchumi wa vyombo vya habari katika wakati huu wa maendeleo ya Teknologia ya habari na mawasiliano. Vyombo vya habari, kama vile vituo vya redio, magazeti, vituo vya runinga, vimekuwa vikipitia wakati mgumu katika wakati huu wa mapinduzi ya kidigitali hasa kuibuka kwa mitandao ya kijamii, kama...
Taasisi ya kuzuia na kumbana na rushwa (TAKUKURU) inapaswa kushirikia na wizara ya ujenzi kupitia wakala wa barabara (Tanroads) ili kudhibiti vitendo vya rushwa kati ya madereva na mafisa wa vituo vya kupima uzito wa magari ili kusudi miundombinu ya barabara hasa za mikoani kuweza kudumu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.