Recent content by Harris_aka47

  1. Harris_aka47

    Naomba msaada wa kutajiwa vyuo vinavofundisha ufundi wa malori kama Scania, Man, Iveco, nk.

    Habari ndugu, Samahani naomba mwenye kujua ni vyuo gani Tz vinafundisha ufundi wa magari makubwa ya mizigo na gharama zake, mimi niko Dodoma, kwahiyo naomba nitajiwe vyuo ambavyo haviko mbali zaidi kuvuka mikoa 3 mfano chuo kiko geita sijui, tafadhali guys naomba msaada.
Back
Top Bottom