Recent content by Harmonize wa Jf

  1. H

    Hatimaye Assad na familia yake wamewasili Moscow, Urusi

    Ni rasmi rais wa SYRIA bashar Al Assad amekimbilia nchini URUSI yeye na familia yake na amepewa makazi mjini Moscow, Apo Jana baada ya kupinduliwa na waasi huko Syria Bashar aliondoka ghafla na ndege na kupotea huku taarifa zikisema kuwa ndege aliyopanda ilidunguliwa na hivyo Assad ameuwawa...
  2. H

    Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

    Hpo Jana Israel ilifanya mashambulizi ya kulipiza kisasi nchini Iran apo Jana usiku katika mashambulizi hayo ya makombora ambayo makombora yote ya Israel yaliyopigwa Jana yalizuiwa na mfumo wq air defence system wa Iran bavar. Hili shambulio halijaleta madhara yoyote zaidi Tu ya kuleta Moshi...
  3. H

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamnin Netanyahu amekokoswa kuuwawa leo na Hezbollah, nyumba yake yashambuliwa

    Hezbollah Leo imeshambulia kwa kombora nyumba aliyokuwepo waziri mkuu WA Israel Benjamin Netanyahu leo, Taarifa za kuaminika kutoka Israel zinasema waziri mkuu wao alifanikiwa Ku escape huku Hezbollah wakisema kuwa Wana uhakika kuwa uenda alijeruhiwa na shambulio ilo. Bado taarifa zaidi...
  4. H

    Korea Kaskazini yaishambulia Korea Kusini kwa makombora leo

    Korea Kaskazini imetuma mabomu mazito huko Korea kusini na karibu miundombinu na madaraja Kati Kati ya jiji la Seoul. Hii unakuja mara baada ya kuonekana kwa drone za kipelelezi za Korea Kusini huko Korea Kaskazini hatua ambayo Kim Jong un ametangaza kama ni vita huku akitishia kushambulia kwa...
  5. H

    Tetesi: Israel kuishambulia Iran kesho Oct 07, 2024

    Kwa mujibu wa vyombo mbali mbali vya habari vimesema kwamba Israel inajiandaa KUISHAMBULIA Iran apo kesho Oct 07 Kama kumbukizi ya shambulio la Oct 07 lililofanywa na hamas Kule Israel, Tayari wakuu wa kijeshi wa Israel walikutana na kupanga mipango ya kuishambulia Iran kesho tar 07...
  6. H

    Ndege ya kivita ya Iran imeingia Lebanon kupambana na Israel

    Leo ndege ya kivita ya Iran jet ya kivita imeonekana ikiwa imeingia katika nchi ya Lebanon kwaajili ya kuwapelekea silaha na kuisaidia Hezbollah dhidi ya Israel. Rada za Israel zimeinasa ndege hiyo ya kivita ya Iran kitu kilicho pelekea kuzuka Kwa tension kubwa kwamba iran ameanza rasmi...
  7. H

    Kim Jong Un wa North Korea atangaza kutumia mabomu ya nyuklia kuipiga Korea Kusini iwapo atachokozwa!

    Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ametishia kutumia silaha za nyuklia kuiangamiza Korea Kusini iwapo itashambuliwa, vyombo vya habari vya serikali vimeripoti Ijumaa, baada ya Rais wa Korea Kusini kuonya kwamba ikiwa Korea Kaskazini itatumia silaha za nyuklia itakuwa ni “mwisho wa utawala...
  8. H

    Iran kuishambulia Marekani

    Vibaya mno
  9. H

    Iran kuishambulia Marekani

    Iran imesema kwamba unaweza kuishambulia Marekani iwapo tu Marekani itaendelea kuisaidia Israel kulipa kisasi. Iran bila uoga imetamka wazi wazi tutaipiga Marekani vibaya mno na linaweza kuwa shambulio la kihistoria endapo watazidi kuwasaidia Israel kutupiga sisi. Vyombo mbalimbali vya...
  10. H

    Israel kuishambulia Iran leo usiku, Marekani yaja juu

    Kwa mujibu wa tovuti mbali mbali za kimataifa zimesema kuwa kuna uwezekano wa Israel KUISHAMBULIA IRAN leo usiku kama Kujibu shambulio la Iran la apo juzi. Inasemekana Israel tayari umeanza mipango ya kuishambulia Iran leo huku kukiwa na hofu ya Israel KUISHAMBULIA visima vya mafuta vya Iran...
  11. H

    Iran yaelekeza makombora matano ya nyuklia Israel

    Iran apo Jana umeanza kuandaa makombora yake matano ya NYUKLIA katika mji wa isfarahan kama kukaa tayari KUISHAMBULIA ISRAEL iwapo Israel itajibu shambulio lao la apo juzi. Iran IMESEMA ipo tayari Kwa vita vya NYUKLIA dhidi ya Israel. Supreme leader wa Iran ayatollah Al khameini amesema kwamba...
Back
Top Bottom