Recent content by hardworker2

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Monaco alifungwa atachana mikeka hatari
  2. H

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii nilipost jana watu wakadharau bado timu moja imebaki mkeka utick..niliweka 50,000
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huwa sifanyii betting timu hizi labda simba, singida na yanga na Azam lakini hizo zingine sijawahi jaribu
  4. H

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sporpesa odd 2.3 WZWVDH odd chache za uhakika Jana kuna moja nilipost alichana Chelsea peka yake hakutoa over 0.5 Hii ya leo probability 100 percent.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Double chance uhakika..lazima kuwin lazio hawezi huyo jamaa akiwa home ni hatari
  6. H

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkeka upo vyema sana
  7. H

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Utasababisha watu wasiwe wana post odds humu..maana kila mtu akiwa anapost mikeka ataonekana agent wa kanji...issue kubwa kwenye kila mikeka test huyo mtu anayetuma mikeka yake huwa inatick? Ifanyie research kwanza...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Niliweka miwili ya 5,000 imegoma lakini huu wa 50,000 umetick ..ngoja tusubiri kesho tena
  9. H

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuna jamaa alitahadharisha kuhusu hili kombe kuwa vikosi huwa vinapangwa vya kawaida
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wameshapigwa huko kimoja
  11. H

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hawa juve hawa..mwisho leo kubetia timu za italia
  12. H

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii kampuni gani naona wapo vizuri sana
  13. H

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yanga akifungwa leo watu watalia machozi ya damu
Back
Top Bottom