Hao ukawa wanataka tuione ccm mbaya, kuhusu swala la uwanja wa taifa walikuwa wanalijua sana kama hauruhusiwi kufanyia kampeni, na kuhusu uwanja wa jangwani wamefanya makusudi kuchelewesha kutuma maombi ili mwisho wa siku watafute sababu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.