Jamani mm nimsichana wa miaka22 ni mnene kiasi tangu nijifungue ni miez saba sasa nlvojifungua nlichanwa sasa mshono wangu ukafumuka nkarud hospital tena nkashonwa nikakaa kidogo ukaachia tena nmeshashonwa mara tatu lakini unaachia nmekua nikitumia tuu dawa hzi antibiotics kama kuna mtu anaejua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.