Recent content by hanzangira

  1. H

    Watumiaji wenye matumizi makubwa ya Internet nawaomba kidogo/Heavy Internet users

    Yes ni kweli boss, huduma ya zuku ni nzuri na ni bora kabisa kwa sasa, wateja wetu wengi wanaipenda mnoo, jamk Mkuu karibu zuku fiber, changamoto tupo maeneo haya, masaki, msasani,kinondoni,upanga, kkoo na oysterbay. Internet ya uhakika na yenye kasi. Tuwasiliane.
  2. H

    ZUKU fiber unlimited home internet

    ndio mkuu ni unlimited.
  3. H

    ZUKU fiber unlimited home internet

    haipunhui ni unlimited kabisa yaani utatumia kwa mwezi mzima pasipo kukata.
  4. H

    ZUKU fiber unlimited home internet

    boss hatujaishia hapo tu, sema hizo ndio sehemu ambazo kwa sasa huduma ipo activated, lakini tupo maeneo mengine pia sema huduma bado kuwashwa.
  5. H

    ZUKU fiber unlimited home internet

    boss kwa tabata bado, tukifika nitakujuza, ahsante kwa ushiriano
  6. H

    ZUKU fiber unlimited home internet

    bado kwa sasa huduma ni kwa mkoa wa dar es salaam tu.
  7. H

    ZUKU fiber unlimited home internet

    Habarini wanajamvi, karibuni sana niwapatie huduma ya zuku unlimited home internet, ni huduma nzuri yenye kasi zaidi, free device(router), na free installation kwa wateja wetu. huduma kwa sasa ni uhakika kwa maeneo yafatayo upanga,kariakoo,msasani,masaki, kinondoni,mikocheni na oysterbay. kwa...
Back
Top Bottom