Recent content by Hansal Depot

  1. Hansal Depot

    JamiiForums Tanzania Tunauza maziwa ya ng'ombe

    Faida za kunywa maziwa zipo wazi tu ndugu na pia kuhusu yapi yananenepesha zaidi ya mengine utafiti huo bado haujafanyika.ILA kati ya yale makundi matatu kundi la pili lipo salama zaidi (cultured buttermilk),sababu maziwa huchemshwa kwanza kabla ya hatua ya ugandishwaji ukilinganisha mtindi...
  2. Hansal Depot

    JamiiForums Tanzania Tunauza maziwa ya ng'ombe

    Usikate tamaa ndugu mteja mtarajiwa...Hansal Deepot mkombozi wako...jaribu maziwa yetu muda wowote na utajionea utofauti ni halisi 100% na hayajazimuliwa na chochote.
  3. Hansal Depot

    JamiiForums Tanzania Tunauza maziwa ya ng'ombe

    Ni rahisi mno ndugu....kujua maziwa yamechakachuliwa na maji (milk adulteration) kwa ngazi yanyumbani chapchap, kuna njia kuu mbili ambazo ni: Lactometer test-involves using a special instrument called lactometer to find out the amount of water in the milk (kifaa hiki kinapatikana kwenye duka...
  4. Hansal Depot

    JamiiForums Tanzania Tunauza maziwa ya ng'ombe

    Habari ndugu Mob....ombi lako limefika,tutalifanyia kazi na utapata mrejesho karibuni na kama kuna maelekezo mengine tafadhali wasiliana nasi kupitia inbox. Ahsante
  5. Hansal Depot

    JamiiForums Tanzania Tunauza maziwa ya ng'ombe

  6. Hansal Depot

    JamiiForums Tanzania Tunauza maziwa ya ng'ombe

    Habari ndugu mteja... MAZIWA yetu ni halisi kabisa hatuongezi chochote (No additives ,No water adulteration ) na pia kama ikatokea tatizo ambalo kimsingi litakuwa limesababishwa na upande wetu basi tunapokea returns na mteja atafidiwa mara moja. HATUA JINSI MAZIWA YANAVYOPATIKANA MPAKA KUMFIKIA...
  7. Hansal Depot

    JamiiForums Tanzania Tunauza maziwa ya ng'ombe

    Hello ndugu mteja...... Kuna aina tatu za mtindi Traditional buttermilk (made by settling unpasteurized milk) Cultured buttermilk (made by adding lactic acid bacteria to pasteurized milk) Acidified buttermilk (made by food grade acid such as lemon acid) Maziwa yetu ni kundi la pili.Maziwa...
  8. Hansal Depot

    JamiiForums Tanzania Tunauza maziwa ya ng'ombe

    TUNAUZA NA KUSAMBAZA MAZIWA DAR ES SALAAM. MAZIWA FRESH TSH 9,900/= (Kwa lita 5) MAZIWA MTINDI TSH 11,900/= (Kwa lita 5) KUTOA ODA,PIGA 0715052712 (Masaa 24) TUNALETA BURE ULIPO (Vigezo kuzingatiwa) TUNAPATIKANA MWENGE (Mtaa wa Kipepeo-DSM),KARIBUNI SANA.
Back
Top Bottom