hii inawezekana kweli maana ukifuatilia mkeka iliotoka na nafasi za afisa ugavi tokea mwanzoni mwaka huu baada ya oral hawafiki hata 200. Daah nchi hii sijui tunaelekea wapi
Habari wanajamii.
Natumaini wote wazima.
Hivi zile kazi za afisa ugavi 340 za mwaka jana agosti naomba kuulizia hivi nafasi zote zimeshapangiwa kwa waliofaulu??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.