Naombeni msaada wana JF,
Nilikuwa na mpenzi wangu tuliyedumu nae miaka mi 5,nilikuwa nampa kila kitu anachotaka,siku moja nilimkuta na mwanaume mwingine nililia sana yaani almanusra nijiue.
Tangu siku hiyo hamu yote ya kungoneka imekata yaani cna tena hamu na mwanamke sababu tangu niachane nae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.