Recent content by Hans jah

  1. H

    JamiiForums Tanzania Lissu aliona mbali: Leo Katuga anaiamba mahakama kuwa adhabu sio lazima kunyongwa, bali mahakama inaweza kutoa adhabu nyingine

    Hii kesi ni jaribio la historia kwa Rais Samia. Awe ni Rais wa kwanza wa kike na na ambae alimfunga mpinzani wake wa kisiasa.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais: Epuka Doa Jipya

    Nani wa kumshauri Rais la kutojiongezea doa jingine. Kwa yale yaliyotokea 29 octoba inatosha kuwa fundisho kwake. Kumfunga Lisu kwa uhaini litakuwa ni doa jingine ambalo litamtesa na kumtengenezea kumbukumbu mbaya kwa kizazi kijacho. Atafananishwa na Ma Rais wengine hata pata wa kufanana nae...
Back
Top Bottom