Recent content by handsome boy wa jf

  1. handsome boy wa jf

    Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

    Sawa mkuu Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
  2. handsome boy wa jf

    Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

    Leo naimaliza pia nitajibu ile mimba ya fetty ilienda wap na kuhusu kisa cha babu msekwa Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
  3. handsome boy wa jf

    Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

    Sawa Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
  4. handsome boy wa jf

    Kwanini wanawake wanapenda ‘bad boys’?

    Wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale Napenda kujua kwanini wanawake wengi wanapenda sana kudate na bad boys. Wanawake wengi warembo huwaambii kitu kwa wanaume bad boys au wanaume wahuni. Shida ni nini? Mfano mzuri kuna rafiki yangu mmoja ni muhuni kweli anavuta bangi kinoma lakini kuna...
  5. handsome boy wa jf

    Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

    Leo nitawajibu ili swali mchana mkuu na nitashusha epsode ya maaana
  6. handsome boy wa jf

    Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

    SEHEMU YA 17 ************************ Nikiwa pale naishi kwa salome niliweza kuishi vizuri sana niliweza kuokoka na kuanza kumjua mungu mungu alinibadilisha sana nilifurahia maisha yangu mapya ya kidini siku zilienda zilienda nakumbuka usiku mmoja tupo na salome tumetoka kanisani tulikuwa...
  7. handsome boy wa jf

    Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

    [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
  8. handsome boy wa jf

    Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

    [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]sawa
  9. handsome boy wa jf

    Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

    Niliwahi kwenda ile fremu ishafungwa kabjsa na unajua mimi na fetty tuliachana mwaka 2020 mwezi wa nane ndio ameacha kunifuatilia sema kutoondoa utamu wa stori nitaelezea kila kitu leo na jinsi nilivyounganishwa na chama cha wachawi gamboshi
  10. handsome boy wa jf

    Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

    Ni kweli mkuu salome alikuwaga mpenzi wangu kipindi tulipokuwa shule kwahyo ilipita miaka mingi sana toka tumeachana na kila mtu akawa ana mishe zake so ilikuwa ngumu kulala kitanda kkmoja kwa haraka haraka maana kila mtu alikuwa ameshapitia mahusuano mengine na hata uhusiano uliporudi tuliaenda...
  11. handsome boy wa jf

    Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

    Sawa mkuu sehemu inayofuata baadae nitaelezea
  12. handsome boy wa jf

    Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

    Ni kweli lakn kutokana na mda nimeamua kufupisha iwahi kuisha mapema kuna vipande nimevitoa na vingine nimeviunganisha kwenye kila part
Back
Top Bottom