Recent content by HANADA

  1. H

    Chuo Kikuu Cha Uhasibu Arusha kinahitaji wanafunzi zaidi ya 2000 kurudia mitihani wakati walishafanya mitihani na matokeo yalitoka

    Uongozi wa Chuo cha Uhasibu Arusha, umetaka wanafunzi zaidi ya 2000 kurudia mtihani ingawa walishafanya mtihani huo wa semister ya 2. Chanzo ni kutolipa ada ya kufanya mtihani, hii sio haki. Uongozi umeshindwaje kutambua toka kipindi chote hadi wamefanya mtihani na matokeo yameshatoka. Na...
Back
Top Bottom