Recent content by Han Kyul

  1. Han Kyul

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Song Jae Rim amefariki taarifa zimetoka muda huu
  2. Han Kyul

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Najua wewe upo kwenye mysteries sana hizi soft ni kwa ajili yetu japo mimi kila genre natazama kikubwa maadili tu yawepo
  3. Han Kyul

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Watu tunamuangalia Justitia Labda ungoje Doubt i think inaanza leo ya Han Sun Kyu
  4. Han Kyul

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Zilizopo ni za wafia drama sie tu
  5. Han Kyul

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Ilianza vizuri ila episodes za katikati baada ya Dora kupoteza kumbukumbu zilikuwa za kipuuzi tu
  6. Han Kyul

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Umeangalia Su Ji & U Ri?
  7. Han Kyul

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Kwa sababu ya audience Unajia kwa nini nachukia series za Netflix na web platforms nyingine? Kwa sababu watu wa underage kutokuwa na access mazima ndio maana unaweza kukutana na contents za ajabu Hayo mapenzi ya jinsia moja sio kitu kigeni Frozen Flower ya 2008 ilikuwepo ila kwa kuwa ni...
  8. Han Kyul

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Kissasian wametukatili sana kufunga site yao
  9. Han Kyul

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Wengine hatuna hizo stress
  10. Han Kyul

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Kuna drama ya kizushi inaitwa Black Out vibe lake anapendaga Hziyech22 akiiona atakuja kutambisha humu[emoji23]
  11. Han Kyul

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Ni Love Wins All
  12. Han Kyul

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Dating variety nzuri iliisha mwezi uliopita Possessed Love Now kuna ya wazee wa miaka 50's[emoji23] Influencer niliichukia kutokana na uwepo wa wale wanaume waliokaa kishoga
  13. Han Kyul

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Kuna mtu humu ndani huwa ananifurahisha sana nikionaga maelezo yake sinaga cha kuongeza nabakia speechless[emoji23][emoji23] Anyway now naangalia ongoing dramas za tastes zangu kabisa na zote ni weekend Bad Memory Eraser Romance In The House Good Partner Love Next Door DNA Lover Bila kusahau...
  14. Han Kyul

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Hapa zimenitoka ila ninazozikumbuka ni Fall In Love,City Of Streamer na Love In Flames Of War hii ndio nzuri sana ina love story nzuri sana
Back
Top Bottom