Recent content by hamza mahundu

  1. hamza mahundu

    JamiiForums Tanzania KARANI WA POSTA LEVEL YA KIDATO CHA 4 ANALIPWA BEI GANI? Na maswalj yapi ataukizwa inter view AJIRA PORTAL

    Naomba majibu
  2. hamza mahundu

    JamiiForums Tanzania Cheti cha kuzaliwa nilichoweka ajira hakionekani vizuri ila nime ki certfy hvo nikaamua kuweka na kinachoonekana vizuri ambacho hakija pigwa muhuri

    Yaan vyet viko viwl je sio shida? Cheti cha kuzaliwa nilichoweka ajira hakionekani vizuri ila nime ki certfy hvo nikaamua kuweka na kinachoonekana vizuri ambacho hakija pigwa muhuri
  3. hamza mahundu

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuingia serikalini na elimu ya form 4 je muda gani unaweza kuongeza elimu yako

    Mfano umepata kazo ajira portal FORM 4. NA UNA CHET CHA DEGREE ILA HAUJAKIPANDISHA AJIRA PORTAL KUNA UWEZKANO WA KUONGEZEKA CHEO BAADA YA MUDA GANI
  4. hamza mahundu

    JamiiForums Tanzania Majiko ya mkopo ya induction kianzio ni 40700/= tunakupa na sufuria 2 na kikaangio kimoja bure

    Majiko yetu Yana ubora.. na Yana viwango vilivyothibitishwa. Pia Yana warranty ya miaka 3 Nakushaur uendelee kufanya uchunguzi kbla ujachagua
  5. hamza mahundu

    JamiiForums Tanzania Majiko ya mkopo ya induction kianzio ni 40700/= tunakupa na sufuria 2 na kikaangio kimoja bure

    Bei ya jiko moja ni 274520/= ila tutanatoa kwa mkopo, kwa kianzio Cha shilingi 40720/= tu unapata jiko lako, pamoja na sufuria 2 na kikaangio kimoja.. Kisha , kias kilichobakia utakilipia kidogokidogo ndani ya wiiki 50, Kila week utalipia 467 ✊NI RAHISI KUTUMIAJana nmetoka kuchemsha...
  6. hamza mahundu

    JamiiForums Tanzania Majiko ya mkopo ya induction kianzio ni 40700/= tunakupa na sufuria 2 na kikaangio kimoja bure

    Unit 1 Kwa familia ya watu 4-7 utatumia kupika chakula Kwa muda was sku Moja kw Milo yte 3
  7. hamza mahundu

    JamiiForums Tanzania Majiko ya mkopo ya induction kianzio ni 40700/= tunakupa na sufuria 2 na kikaangio kimoja bure

    Kampuni yetu haiko singida . Kwa Tanzania ipo dsm na mwanza tu Kampuni ziko nyingi.. Na viwango no tofauti pia
  8. hamza mahundu

    JamiiForums Tanzania Majiko ya mkopo ya induction kianzio ni 40700/= tunakupa na sufuria 2 na kikaangio kimoja bure

    JIKO NI LA UMEME LINALOTUMIA MFUMO WA KISASA WA INDUCTION , UNAODHIBITI MATUMIZI YA MAKUBWA YA UMEME. 👉🏼jiko linapika haraka na kuivisha haraka zaidi ya gas na mkaa 👉🏼linatumia mfumo wa kisasa na ni jiko la ku touch kama simu Yako ya smartphone 👉🏼Ni rahisi kutumia 👉🏼unawez uka set muda wa...
  9. hamza mahundu

    JamiiForums Tanzania Majiko ya mkopo ya induction kianzio ni 40700/= tunakupa na sufuria 2 na kikaangio kimoja bure

    Bei ya jiko moja ni 274520/= ila tutanatoa kwa mkopo, kwa kianzio Cha shilingi 40720/= tu unapata jiko lako, pamoja na sufuria 2 na kikaangio kimoja.. Kisha , kias kilichobakia utakilipia kidogokidogo ndani ya wiiki 50, Kila week utalipia 467 ✊NI RAHISI KUTUMIAJIKO NI LA UMEME LINALOTUMIA...
Back
Top Bottom