Recent content by hamisi ndingo

  1. hamisi ndingo

    Tunauza mwani/sea moss

    ukilinganisha Pombe na Mwani Mwani mtamu sana Ukilinganisha Chumvini na mwani Mwani utabaki kileleni kwa utamu Ila ukilinganisha shawarma na mwani Shawarma ni tamu
  2. hamisi ndingo

    SoC02 Nilivyobuni kifaa cha kutatua changamoto ya malipo ya bili za Umeme kwa wapangaji

    ubunifu bora kabisa huu na naamini ukiboreshwa utakua chachu ya kutatua changamoto za wapangaji katika swala la umeme
  3. hamisi ndingo

    SoC02 Kesho ya Afrika ipo katika mtandao

    Umesema kweli na hapo pia ni swala la wananchi wenyewe sasa kuelimika kuendana na kasi ya teknolojia pia na namna bora ya kuziendea fursa mbali mbali
  4. hamisi ndingo

    Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    Inapendeza saana kuona JF wame inapendeza sasa kuona JF wameboresha Ulinzi wa Sera zao pamoja na maudhui kwa ujumla
  5. hamisi ndingo

    SoC02 Mirathi na Mwanamke baada ya kifo cha mumewe

    kaka wa marehemu huchululia tamaa tu ya mali wao sio warithi halali ikiwa watoto na Wazazi wapo
  6. hamisi ndingo

    SoC02 Mirathi na Mwanamke baada ya kifo cha mumewe

    Hilo lipo wazi kwamba unaweza pata sawa kwa sawa au kwa kiasi ambacho amechangia katika pato la familia ko kama amechangia 20% basi atapata hio
  7. hamisi ndingo

    SoC02 Mirathi na Mwanamke baada ya kifo cha mumewe

    baada ya Tafiti ndio nimekuja na haya yakusema
  8. hamisi ndingo

    SoC02 Mirathi na Mwanamke baada ya kifo cha mumewe

    hapana mimi sio mwanasheria kamili ndugu yangu lakini ni mwanafunzi wa Sheria
  9. hamisi ndingo

    SoC02 Mirathi na Mwanamke baada ya kifo cha mumewe

    mpaka motisha lakini hahahahhaa
Back
Top Bottom